Ndoa ni kkwanza kuelewana (sio fujo, mateke na ngumi) Ndoa ni kkwanza kuelewana (sio uwanja wa mapambano) Umtunze mkeo, umpende mmeo Huyo ndiye wako, kipenzi cha moyo wako Umtunze mkeo, umpende mmeo Jivunie chako, fuhara ya moyo wako Nawahasa msigoùbane tena Na ndoa yenu msilie tena, uliyempata leo ndiye kipenzi chako Siunajua mmekubaliana
https://afrikalyrics.com/zabron-singers-jivunie-chako-lyrics